Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo hafanyi tena kolabo hadi 2024

Mariooo Marioo hafanyi tena kolabo hadi 2024

Thu, 11 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Marioo amesema kwamba katika mwaka huu ameshirikishwa kwenye ngoma nyingi sana na wasanii na bado zipo kama 5 ambazo zinatakiwa kutoka kabla mwaka huu haujaisha.

Hivyo Marioo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa sasa inatosha kushirikishwa mpaka 2024 panapo majaliwa.

"Kwenye huu mwaka nimeshirikishwa ngoma nyingi za watu na zipo kama 5 ambazo zinatakiwa kutoka before the year ends Its safe to say its enough till 2024 panapo majaliwa ila izo 5,” aliandika Marioo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live