Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo amuwekea Mimi Mars bwawa la kuogelea

Mars Marioo Marioo na Mimi

Mon, 23 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marioo; ni msanii mwingine mkubwa nchini Tanzania ambaye baada ya kukiri kuumizwa na video ya Mimi Mars akiogelea na Diamond nyumbani kwake sasa amemuahidi mrembo huyo kumuwekea bwawa la kuogelea nyumbani kwake.

Marioo ametundika picha yake ya kimahaba na Mimi Mars kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika; “Na nyumbani naweka swimming pool, si unapenda kuogelea!!?”

Baada ya kukanusha mara kadhaa kwamba si wapenzi, sasa ni rasmi kwamba ni mtu na mtuwe au ni kitu na boksi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live