Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo amuwashia moto Abigail Chams

Marioo Vs Abigaik Marioo amuwashia moto Abigail Chams

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye Insta story ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Marioo ameandika ujumbe huu unaosemekana kautuma kwa msanii mwenzie Abigail Chams

"NIMECHUKIZWA KWASABABU SIAMINI KAMA UNAWEZA KUWA NA ROHO MBAYA KIASI HIKO KWA HIYO UNAKUBALI WENZAKO WAONEKANE WABAYA KWASABABU TU WEWE UNATAKA KIKI UNATAKA KUTREND INSTAGRAM!!!???"

Kuna baadhi ya clip zinatembea mtandaoni Marioo akihojiwa ambapo anasema anajuta kushiriki kazi ya Abigail.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live