Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo ampiga dongo Paula - VIDEO

Marioo Na Paula N Marioo ampiga dongo Paula

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa kizazi kipya Marioo ambaye ni mpenzi wa Paula amekiri kuwa ukiwa kwenye mahusiano na watoto waliozakiwa 2000 ni shida sana.

Kufuatia video hiyo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii watu wamekuwa wakuihusisha na umri wa Paula ambaye amezaliwa 15 July 2002.

Hata hivyo Marioo yeye hajamtaja kama ni Paula au la.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live