Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo afuta logo ya TVE kwenye picha ya Diamond

DIAMOND MARIOOOO Marioo afuta logo ya TVE kwenye picha ya Diamond

Fri, 27 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Marioo ameanza ku-post posters za Mualiko kwa Mastar Mbalimbali, Posters za Mastar wote Ameweka Logo ya Badnation (Lebo yake) na logo ya TVE (Main Media Partner wa Event ya Uzinduzi wa Album yake)

Cha kushangaza Kwenye poster ya Diamond hajaweka Logo ya TVE, ameweka tu Logo ya Badnation.

Hii inaonesha kiasi gani Diamond Platnumz alivyo-brand kubwa hapa Tanzania, huwezi kutumia picha yake hovyo hovyo kisha ukaweka Logo ya Media nyingine, wakati yeye mwenyewe ana Media yake.

Kama Marioo angeweka Logo ya TVE kwenye Poster ya Diamond kwa kiasi kikubwa TVE ingekuwa Branded kwa mgongo wa Sura ya Diamond bila Malipo yoyote.

Diamond ni Very Professional kwenye haya masuala. Ila sijapenda, Marioo angefuta na Hiyo Badnation, angefuta na Mlimani City maana Zimetangazwa bure, Diamond hajaingiza kitu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live