Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marioo: Mwaka wa tatu huu nakimbiza kwa "Hit Songs"

Marioo Mkwara Marioo

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Marioo amejipa maua yake kwa kudai kuwa yeye ndiye msanii anayekimbiza zaidi katika bongofleva kwa kuwa na ngoma kali.

#Marioo ameyaeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika,

“Huu mwaka wa tatu mfululizo mawakimbiza kwa kuwa na nyimbo nyingi kali na hits, kwenye hizo chats zenu mnazoziaminia “i know you know that i’m the best, na hata kwenye tuzo ikitokea michezo kama ya msimu uliopita, nitaendelea kupeleka moto”

Kwa sasa msanii huyo anatamba na kibao chake cha ‘Hakuna Matata’ pamoja na ngoma aliyoshirikishwa na Harmonize iitwayo ‘Disconnect’ ambayo inakimbiza katika mitandao ya kusikiliza muziki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live