Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mariah Carey afunguka kuhusu albamu yake mpya na kufanya kazi na Roc Nation

4433 28427292 1957471074325597 317235600266625024 N TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mariah Carey ataonekana katika cover la jarida la V Magazine katika toleo la mwezi Machi mwaka huu.



Katika jarida hilo Carey amefunguka kuhusu albamu yake mpya na kufanya kazi na Roc Nation ya Jay z.

“I’m in the studio starting a new album of regular music…Meaning it’s not a Christmas album. I’m kind of restarting, and I’m working with Roc Nation now, so that’s great,” amesema Mariah kwenye jarid hilo.

Jarida hilo linatarajiwa kutoka Ijumaa hii ya Machi, 9.

Chanzo: bongo5.com