Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marapa wenye ushawishi mkubwa Afrika

Sarkodie And Nasty C Picture Instagram.jpeg Marapa wenye ushawishi mkubwa Afrika

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wiki chache zimepita tangu rapa kutoka nchini Afrika Kusini Cassper Nyovest, kuwa gumzo baada ya jibu lake alivyotua Tanzania na kuulizwa kuhusu ni Rappers gani anawakubali hapa nchini, alisema hawafahamu kabisa wasanii wa hip Hop kutoka Tanzania.

Charts Africa Kupitia akaunti yao ya mtandao wa X (Twitter) wametoa orodha ya marapa kumi wenye ushawishi barani Afrika na hakuna hata msanii wa hip hop kutoka nchini Tanzania.

1.Sarkodie - Ghana

2.Nasty C - Afrika kusini

3.Black Bonez - Nigeria

4.Cassper Nyovest - Afrika kusini

5.Khaligraphy - Kenya

6.Odumo Dublvck - Nigeria

7.M.anifestive - Ghana

8.Vector Tha Viper - Nigeria

9.Mi Abaga - Nigeria

10.Ladipoe - Nigeria

Maoni yako ni yapi juu hii orodha ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live