Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Marais watano pamoja Bill Gates kuhudhuria harusi ya mtoto wa Dangote

2716 Dangote 660x400

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Fatima Dangote ambaye ni mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu Nigeria Aliko Dangote anatarajia kufunga ndoa mwezi March na mtoto wa Inspekta generali mstaafu wa Nigeria ambaye ni Jamil Dikko Abubakar.

Fatma Dangote na Jamil Abubakar

Sherehe ya harusi hiyo inatarajiwa kuwa ni moja kati ya harusi kubwa nchini Nigeria ambapo itahudhuriwa na Marais watano ambao wamethibitisha kuhudhuria akiwemo na tajiri wa kwanza duniani Bill Gates ambaye atahudhuria harusi hiyo.

Kutokana na mipango ya sherehe ya harusi hiyo itakayofanyika mwezi March na kutarajia kuhudhuriwa na watu wengi maarufu  wameamua kuiita “Mother of all weddings”.

Tukio la Mbosso Mwembe Yanga la mstaajabisha G Nako

Chanzo: millardayo.com