Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapokezi ya Hamisa Mobetto alivyowasili Uganda

442 DSC 0747.MOV.Still025 660x400 TZW

Wed, 20 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Leo December 20,2017 mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake na muimbaji  Diamond Platnumz amewasili  Uganda kwa jailli ya show yake itakayofanyika December 21,2017, Hamisa amethibitisha hilo kuptia ukurasa wake wa instagram baada ya kupata  mapokezi mazuri kutoka kwa mashabiki.

Ikumbukwe kuwa Zari the boss lady alishawasili Uganda kwa ajilli ya party yake ya “Zari All White Party” itakayofanyika kesho December 21,2017 ambapo wawili hao watafanya  party siku moja, nchi moja lakini venue ndio tofauti.

Zari na Hamisa wanashindanishwa kutokana na wote kuwa wamezaa na staa Diamond Platnumz hivyo vitu vingi wanavyofanya wawili hao hutathiminiwa kama ni ushindani kati yao.

AUDIO:Shamsa Ford ameziona comments za wanaomkosoa kwa kumsifia Irene Uwoya

 

Chanzo: millardayo.com