Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapenzi ya kupostiana yana mashaka - Huddah

HUDDAH PIX Msanii Huddah

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni headlines za Star Girl #HuddahTheBossChick akisema mapenzi ya kupostiana mitandaoni yana mashaka sana wanatumia mitandao ya kijamii kuficha huzuni zao.

“Mahusiano ya malengo ni ulaghai. Uhusiano wowote unaotangazwa sana kwenye mitandao ya kijamii yanatia shaka sana. Wanatumia mitandao ya kijamii kufidia huzuni zao” - ameandika Huddah

Bora upendwe upostiwe au upendwe moyoni?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live