Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mapato ya "Buga" yamfungua mdomo Tekno kwa Kizz Daniel

Kizz Daniel And Tekno Buga Mapato ya "Buga" yamfungua mdomo Tekno kwa Kizz Daniel

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nilishirikishwa Katika Wimbo Buga Bila Makubaliano Yoyote ya kisheria, sikuwa nategemea chochote Kutoka kwake. Nilitaka kukaa Kimya Kuhusu Hili lakini Kuna Kiwango Flani Cha shukrani Lazima kiongelewe. Hivi mnajua Kuwa Kizz Daniel ananitumia asilimia 50 Ya Mapato anayopata Kutoka Katika Ule Wimbo? Baada ya Ziara ya Buga, alinitumia Karibu Naira billion Na Nilistuka Kwa Hilo, hakuishia Hapo Tu, Kila Mwezi napokea millions Kama Sehemu ya Malipo Yangu yanayoingia Kutokana Na mapato yanayoingia kupitia streaming platform ya Buga. Kizz Daniel ni Mtu Mwema Siwezi kudanganya - Maneno Kutoka Kwa Tekno

Buga ni Wimbo Wa Kizz Daniel alioufanya akishirikiana Na Tekno, Na Pia Wao Wenyewe Na Umetengenezwa Na Blaise Beats, Yung Willis Na Reward Beatz. Ulitoka Rasmi May 3, 2022

Wimbo Ambao uliteka rika Zote, Watoto Kwa wazee ukitusua Ndani Na Nje ya nigeria, Na Uliweza Kuweka records Mbalimbali ikiwemo Kuwa Ndio Wimbo uliotafutwa zaidi Ndani ya Nigeria.

Pia Buga uliweka challenge Ambayo ilifanya Poa sana tik tok Na Instagram, pia Uliweza kushika number Moja Zaidi ya Nchi Kumi Katika charts Za Apple Music

Music Video iliongozwa Na TG Omori, ilitoka June 22, 2022 Na Mpaka Sasa Iko Na watazamaji 199,869,987

Chanzo: www.tanzaniaweb.live