Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mapacha walioungana wenye umri mkubwa zaidi wafariki Dunia

Mapacha Waungana Mapacha walioungana wenye umri mkubwa zaidi wafariki Dunia

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mapacha walioungana wenye umri mkubwa zaidi duniani, wamefariki dunia wakiwa na miaka 62.

Pamoja na kuzaliwa wakiwa wameungana, Lori na George Schappell walifanikiwa katika kazi zao zilizokuwa tofauti pamoja na mambo mengine mengi.

Mapacha hao waliozaliwa Pennsylvania nchini Marekani walikuwa wameungana fuvu, sehemu ya ubongo na mishipa ya damu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live