Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mange Kimambi amuumbua Haji Manara" mbona uko Marekani vijijini"

Mange X Haji Mange Kimambi amuumbua Haji Manara" mbona uko Marekani vijijini"

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haji Manara aliitangazia Umma kuwa anakwenda Marekani na Jan Agosti 15 aliposti Picha akiwa nchini Marekani katika Jimbo la North Carolina.

Haji Manara aliitangazia Umma kuwa anakwenda Marekani na Jan Agosti 15 aliposti Picha akiwa nchini Marekani katika Jimbo la North Carolina. Sasa Mange Kimambi ameibuka na kumuuliza mbona amefikia Marekani ya vijijini? Mange amemuita Haji wakutane katika Jimbo la Los Angeles ambako ndiko wanakopatikana Mastaa mbalimbali Duniani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live