Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mandonga aanika anavyomzimia Hamisa Mobeto

Mandonga Mobetoo Mandonga na Hamisa Mobeto

Mon, 8 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hahahahahah! Make hapa kwanza ncheke bwana bwana mtu kazi kumbe sio ngumu tuu hadi kwenye kuimba yumo alooooh!, basi bwana bondia huyo ametoa mpya na kusema kuwa anamzimikia mrembo Hamisa Mobeto.

Hahahahahah! Make hapa kwanza ncheke bwana bwana mtu kazi kumbe sio ngumu tuu hadi kwenye kuimba yumo alooooh!, basi bwana bondia huyo ametoa mpya na kusema kuwa anamzimikia mrembo Hamisa Mobeto. Mandonga ameyasema hayo kupitia mahojiano yake na moja ya chombo kimoja cha habari alivyo ulizwa kati ya Uwoya na Mobeto nani anamzimikia Zaidi na kufunguka kuwa “oya sema nini wanangu huyu Hamisa Mobeto sio powa yani huyu Mobeto nameuelewa sana yani” amesema Karim Mandonga

Chanzo: www.tanzaniaweb.live