Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara atoa milioni 50 kwa msanii wa atakayeimba kumsifia Zaylissa

Zaiylissah: Nimeanza Mahusiano Na Haji Baada Ya Kuachana Na Dulla Manara na Zaylissa

Sat, 30 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haji Manara atangaza dau la Th milioni 50, ataka msanii yoyote aimbe wimbo wa kumsifia Zaiylissa

Ameandika Haya Haji Manara: "Leo nakuja na ombi kwa Artists wetu wa kibongo, nataka nitengenezewe wimbo maalum kwa ajili ya @zaiylissa , Nataka nyimbo inayomzungumzia Zay wa Bugaa,Nyimbo ya kumsifu yeye, Nyimbo yenye lahaja za kimahaba!! Songi la kufungulia Mwaka.

"Haijalishi ni Hip hop, Bongo flavor,Taarab,Mchiriku,Rap au Singeli, nnachotaka nyimbo iwe tayari kabla ya tarehe kumi January 2024.

"Ofa yangu ni Shilingi Milioni Hamsini, Studio na Video juu yangu ila haki zote za nyimbo ni zangu. Jina la Wimbo ni Zai wa Buga, Msije na Majina yenu ya kibiringanya."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live