Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara amlipua Mr. Pimbi vibaya kisa Zaylissa

Manara X Pimbi Manara amlipua Mr. Pimbi vibaya kisa Zaylissa

Sun, 24 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Muigizaji Mr Pimbi kusema awali kuwa ndoa ya Haji Manara na Zaylissa haitamaliza miezi miwili watakuwa wameachana.

Hii leo Machi 24, Ndia ya Haji Manara na Zaylissa imetimiza miezi miwili na Manara ameandika andiko hili;

"Mimi na Zainab tulioana Tarehe 24/01/2024 tuna miezi miwili ya ndoa na miezi mitatu mingine ya urafiki plus uchumba na mahusiano.

Haya kiko wapi? Ila Pls Pls msithubutu kumchinja huyu kiumbe, hawa kazi yao ni kutafuta kutrend tu, wala msimkate hiyo shingo, bad luck simjui ila nimeambiwa nae ni Muigizaji.

Asichokijua Mungu ndio mpangaji wa kila kitu no matter wapo Viumbe wa aina hii ambao wanadiriki kutoa hadi Viapo vya hatari, Msameheni yeye na wenzie na muombeeni Mungu aachane na maisha ya watu.

Nawaomba pia msiache kutuombea kheri maana hii nchi imejaa mahasidi kupitiliza hadi ndugu zake @stevenyerere2 wapo"

Tazama Video aliyozungumza Mr Pimbi hapa chini,

View this post on Instagram

A post shared by Mr.pimbi (@mr.pimbi)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live