Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara: Zaiylissa akinisaliti namrudisha kwao

Manara Zaylissa Ms Manara: Zaiylissa akinisaliti namrudisha kwao

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Afisa habari wa ‘klabu’ ya Yanga, Haji Manara amedai kuwa mke wake mtarajiwa Zaiylissa akifanya makosa yoyote atamsamehe isipokuwa kosa la kumsaliti atamrudisha kwao.

Akiwa mbele ya vyombo vya habari nchini amesema kuwa kitu kikubwa na kibaya ni kusalitiwa na mke weke mtarajiwa, endapo ikitokea atamrudisha kwao kwa sababu hawezi kuvumilia usaliti na ndiyo maana anaoa mara kwa mara.

Hata hivyo Manara amesema mke lazima atatongozwa na wanaume wengine lakini anatakiwa ajitambue mwenyewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live