Menu ›
Burudani
Tue, 23 Jan 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Haji Manara amemueleza mchumba wake Zainabu a.k.a Zaylisa kwamba atamsamehe makosa yote akifanya, isipokuwa kosa la usaliti ndani ya ndoa hilo hatavumilia.
Amesema yeye ni mtu wa kusamehe na kumueleza mtarajiwa wake kwamba yapo mambo mengi kama binadamu atamsamehe akifanya, ila suala la kumsaliti katika ndoa hilo hatavumilia.
“Mama fanya kosa lolote lile nitakusamehe, lakini kosa moja tu la kunisaliti, yaani nikagundua upo na mwanaume mwingine, mama nyumbani ndoa basi,”amesema Manara na kusisitiza kuwa yeye kiumbe mwenye utu na utulivu.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live