Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mambo ya kufanya wakati wa tendo la ndoa ili upate mtoto

DEATHSEX Mambo ya kufanya wakati wa tendo la ndoa ili upate mtoto

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kumekuwa na maswali mengi sana mtandaoni hasa kutoka kwa wanawake wakitaka kujua njia zitakazo wasaidia kupata mimba kwa haraka,lisha ya sababu zingine za kitaalamu/Kidaktari basi hizi kwa awali zinaweza kukusaidia ukishindwa hapa muone Daktari kwa Usaidizi zaidi

1. Kufanya mapenzi katika mtindo (style) ambayo itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia kwenye kizazi na kwenda kurutubisha yai.

‘Missionary position’ ni nzuri zaidi, ambapo mwanaume anakuwa juu, epuka positions za mwanamke kuwa juu kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu ziingie ndani kwa urahisi zaidi.

2. Tumia ovulation prediction kit; Hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.

3. Fanya tendo la ndoa kabla ya kuengua yai (kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa kushika mimba kuliko kusubiria ovulation au kufanya baada ya ovulation.

Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya ovulation. Ukitumia ovulation test kit, mkutane kuanzia siku itakapokuwa positive kwani huwa inapredict ovulation kutokea 48 hrs after it tests positive.

4. Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa kiasi fulani huweza kuwasaidia wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawake hawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha kupata ujauzito.

5. Unapotaka kushika mimba, acha au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya.

6. Unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe kitu ‘enjoyable’ na sio tendo (unakamia/unakomaliaaa ‘mechanical’ kwa ajili ya kutafuta mtoto. Panga jioni ya kimapenzi au jaribu kitu tofauti ili kuongeza mambo.

Jinsi unavyohisi kujamiiana kunaweza kuongeza uwezekano wako wa kupata ujauzito. Kwa wanawake kilele bora kinaweza kusaidia kuvuta mbegu kwenye uterasi na kwa wanaume mshindo bora unaweza kuongeza idadi ya mbegu za kiume.

7. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days yani unafanya leo kesho mnapumzika

Kumbuka kuna asilimia 10 – 25 ya couples ambazo zina matatizo ya infertility lakini vipimo havionyeshi tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7 juu.

Kama hizi njia hazijakusaidia basi utakuwa na matatizo na unaweza kumuona daktari kwa msaada wa vipimo na matibabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live