Idadi kubwa ya watu wanaofanya kazi ulimwenguni hupokea mshahara, wakilalamika kuwa mshahara hautoshi kwa maisha yao.
Baadhi ya watu wanapaswa kuchukua mikopo ili kuishi maisha ya kuridhisha, na wanapaswa kutulia kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa watu wengi wanaokabiliwa na tatizo hili, inachukua muda mrefu kulipa madeni hayo, jambo linalowatumbukizakatika maisha ya dhiki, kwa kulipa madeni. Kulingana na wataalamu wa masuala ya fedha ukifanya haya unaweza kuondokana na adha ya kuishiwa:
-Epuka madeni kadri uwezavyo. -Panga jinsi utakavyolipa bili zako kabla ya kulipwa mshahara -Weka akiba na uwekeze hata kama ni kiasi kidogo cha pesa -Tengeneza chanzo au vyanzo vingine vya pesa -Achana na tabia ya matumizi yasiyo ya lazima ya pesa zako