Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Mama yangu anataka niache mziki" - Nay Wa Mitego

Nay Eatv Nay na mama yake

Wed, 5 Oct 2022 Chanzo: Eatv

Rais wa kitaa Nay Wa Mitego ameeleza kuwa mama yake mzazi, watoto wake na familia yake kwa ujumla inatamani aachane na mziki na kufanya shughuli nyingine kutokana na changamoto anazopitia.

Rais wa kitaa Nay Wa Mitego ameeleza kuwa mama yake mzazi, watoto wake na familia yake kwa ujumla inatamani aachane na mziki na kufanya shughuli nyingine kutokana na changamoto anazopitia. Nay Wa Mitego ameshea hilo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio ambayo inaruka kila siku ya J3 - Ijumaa saa 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni. 

Chanzo: Eatv