Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mama na mtoto washtakiwa kwa kushea 'bwana'

Mama Na Mtoto Washtakiwa Kwa Kushea 'bwana' Mama na mtoto washtakiwa kwa kushea 'bwana'

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni! Mama mmoja aliefahamika kwa jina la Monica Mares na Mtoto wake Caleb Peterson walishtakiwa kwa kufanya ngono na jamaa mmoja huko Mexico.

Wanatuhumiwa kwa kuwa na uhusiano mbaya na wakuchukiza mbele ya jamii, Kwenye Mahojiano na DailyMail Monica Mares alisimulia namna yeye na Mwanae walivyokutana kwenye Facebook, Monica anasema baada ya kukutana na kijana wake alijikuta anapata hisia kali za kimapenzi.

Monica mwenye Umri wa Miaka 36 alimza #Caleb akiwa na miaka 16 na kulingana na umri wake mdogo ilibidi amuasili na ikapita muda mrefu bila kujua chochote kumuhusu mtoto wake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live