Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mama afungua mashataka mali za mwanaye aliyefariki siku ya harusi

Mama Afungua Mashataka Mali Za Mwanaye Aliyefariki Siku Ya Harusi Mama afungua mashataka mali za mwanaye aliyefariki siku ya harusi

Wed, 6 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama Mzazi wa Mwanamke aliyefariki dunia siku ya harusi afungua mashitaka ya kudai urithi wa mali za mtoto wake aliyefariki dunia siku ya harusi

Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Lisa Miller ameibuka kudai mali alizochuma mtoto wake huyo wa kike enzi za uhai wake. Mtoto wake aitwaye Samantha Miller alifariki kwa kugongwa na gari siku ya harusi yake na mume wake Aric Hutchinson huko nchini Marekani.

Miezi kadhaa toka kutokea kwa tukio hilo mwanamama huyo amefungua mashitaka ya kudai mali za mtoto wake ambaye anadai kuwa mtoto wake huyo kama angekuwa hai basi angempa mali zake zote . Samantha ameacha mali nyingi ikiwemo nyumba za kifahari ambazo alizichuma kabla ya kuolewa na mwanaume huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live