Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mama afunga ndoa na mwanaye wa kumlea

Mama Afunga Ndoa Na Mwanaye Wa Kumlea Mama afunga ndoa na mwanaye wa kumlea

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja anaye fahamika kwa jina la Aisy luChizhevskaya mwenye umri wa miaka 53 kutoka nchini Urusi amefunga ndao na mwanaye wa kumlea Daniel Chizhevsky (22).

Aisylu aliviambia vyombo vya habari kuwa alikuwa na hisia za kimapenzi kwa mtoto wake wa kumlea Daniel mara tuu baada ya kumtoa katika kituo cha watoto yatima.

Mwanamama huyo ambaye pia ana mtoto wa kiume wa kumzaa kutoka kwenye ndoa yake ya mwazo, alimchukua #Daniel kutoka katika ustawi wa jamii akiwa na umri wa miaka 13.

Aidha wafanyakazi wa ustawi wa jamii walishangazwa na habari hiyo, na kufanya maamuzi ya kuwachukua watoto wengine aliyo kuwa akiishi nao ambapo wasichana walikuwa wanne na mvulana mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live