Menu ›
Burudani
Tue, 4 Oct 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mama mzazi wa muigizaji wa filamu Bongo, Patrick (Othuman Njaidi), Hidaya Njaidi, amesema hana tatizo kama mwanaye ataamua kufunga ndoa na Jenifa.
Hidaya amesema, anachokifahamu kwa sasa, mwanaye na Jenifa au Hanipha ambao waliibuliwa kwenye umaarufu na marehemu Steven Kanumba, ni ndugu japo sio wa damu.
“Mwanangu na Hanifa ni ndugu japo sio wa kuzaliwa lakini kama ikitokea anataka kufunga ndoa mimi sina tatizo nipo tayari, nitaiibariki ndoa yao,” alisema bi mkubwa huyo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live