Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama Wema awaka vibaya, achukizwa na maisha ya mwanaye na Whozu - VIDEO

Mama Wema Awaka Vibaya, Achukizwa Na Maisha Ya Mwanaye Na Whozu   VIDEO Mama Wema awaka vibaya, achukizwa na maisha ya mwanaye na Whozu

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama Mzazi wa muigizaji Wema Sepetu usiku wa jana kwenye birthday ya mtoto wake ametema nyongo kwa kuwachana Whozu na Wema kuwa hapendezwi na maisha yao ya kuishi bila kujirasimisha kwa wazazi.

Mama Wema anasema kuwa wanawadhalilisha wazazi kwa kitendo cha wao kuishi bila kuweka taratibu sawa kwa maana wazazi wa pande zote mbili wajue ndoa na mahusiano yao.

"Mimi leo hapa nimekuja na kaka yangu yupo pale, ananiambia dada tutoke. Nataka mtuheshimu sisi wazazi," alisema mama Wema.

View this post on Instagram

A post shared by Infotainment Chamber (@rickmediatz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live