Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama Diamond hayajampita ya Hamisa na Zari

750 28 DEC 2017 DR. BASHIRU ALLY M KITI TUME YA KUHAKIKI MALI ZA CCM.00 04 37 20.Still001 660x400.jp TZW

Fri, 29 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kuona vijembe vikiendelea na maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii kati ya Hamisa Mobetto na Zari na kuonekana kama upande wa Diamond Platnumz unadaiwa kuwa umeamua kumsapoti Zari kutokana na kile kinachoendelea kati ya Zari na Hamisa Mobetto

Ila kwa upande wa mama yake Diamond ameonekana pia kuendelea kumsapoti Zari kwa kipindi hiki ambacho Zari anarushiana vijembe na Hamisa, mama Diamond kaamua kupost picha ya Zari na Diamond na kuandika caption inayosema “Dawa ya MBU anayeambukiza MALARIA si kumpiga bunduki ni EXPEL tu”

AUDIO:”Kwanini baba Tee na Nillan na sio baba Fancy?”Zari amwambia Hamisa

Chanzo: millardayo.com