Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama Dangote: Natamani nicheze harusi yako kabla sijakata kauli

Dangote Mama Mama Dangote: Natamani nicheze harusi yako kabla sijakata kauli

Thu, 7 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwa mama wa mwanamuziki Diamond platnumz' @mama_dangote ameendelea kuweka wazi kilio chake kwa kijana wake @diamondplatnumz , safari hii akitumia maneno mazito kuwa anatamani kucheza harusi / kusherekea harusi ya kijana wake huyo kabla hajakata kauli.

Kutoka kwa mama wa mwanamuziki Diamond platnumz' @mama_dangote ameendelea kuweka wazi kilio chake kwa kijana wake @diamondplatnumz , safari hii akitumia maneno mazito kuwa anatamani kucheza harusi / kusherekea harusi ya kijana wake huyo kabla hajakata kauli. Ndani ya week hii Mama wa mwanamuziki huyo amekua akisisitiza mwanamuziki @diamondplatnumz kuoa mara baada ya kudai kuwa kwasasa amepata mwenza sahihi hivyo aweze kufunga ndoa baada ya mwezi wa Ramadan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live