Menu ›
Burudani
Sat, 29 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rapa kutoka Marekani, Post Malone amewajibu baadhi ya watu wanaosema kuwa sababu ya mwili wake kupungua ni kutumia madawa ya kulevya.
Rapa kutoka Marekani, Post Malone amewajibu baadhi ya watu wanaosema kuwa sababu ya mwili wake kupungua ni kutumia madawa ya kulevya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Malone amesema kuwa yeye hatumii dawa za kulevya bali majukumu mbalimbali ndio sababu ya mwili wake kupungua.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live