Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malkia Karen kufanya sajari?

Kareen2 Malkia Karen

Thu, 19 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Malkia Karen; ni msanii wa Bongo Fleva ambaye huwenda akaenda kufanya sajari kama baadhi ya mastaa wengine walivyofanya ili kupunguza tumbo baada ya kujifungua.

Malkia Karen ameweka wazi kwamba vitambi vinasumbua sana wadada hivyo hata yeye akipata pesa zake ataenda kukitoa.

Pia ameongeza kuwa siyo mbaya kwa mtu mwenye uwezo wake kurekebisha kitu kwenye mwili wake akafanya hivyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live