Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malkia Karen: Endeleeni kumuombea baba yangu

Malkia Karen Mrembo Malkia Karen: Endeleeni kumuombea baba yangu

Mon, 29 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Malkia Karen amewashukuru ndugu, jamaa na marafiki ambao walishiriki kwenye msiba wa Baba yake mzazi aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner Habash.

Kupitia #Instastory yake Karen ameandika: “Kipekee nitoe shukran za dhati sana kwenu nyote kwa salamu za pole na za faraja Mwenyezi Mungu akawe nanyi. Tuendelee Kumuweka kwenye Maombi Mpendwa wetu Apumzike kwa Amani.”

Ikumbukwe kuwa wiki iliyopita mtangazaji huyo alipumzishwa kwenye nyumba yake ya milele katika Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjaro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live