Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malaika kufungua mwaka rasmi

4824 Bongo5.png TZW

Sat, 17 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, Malaika yupo mbioni kurudi upya katika muziki.

Muimbaji huyo aliyetamba na ngoma kama Rarua na Zogo amekuwa kimya kwa muda mrefu ila kwa sasa anatarajia kurejea kwa kuachia wimbo mpya uiitwao Haachi.

Chanzo: bongo5.com