Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

 Makopa ya Diamond na Zuchu yamchanganya Romy Jons

Zuchu 5 Diamond na Zuchu

Thu, 10 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

DIAMOND Platnumuz; ni supastaa wa muziki wa Tanzania ambaye amemfanya kaka yake, Romy Jons kushtuka baada ya kuona makopa kati ya mdogo wake huyo na msanii wake, Zuchu yanawazidia baada ya kuwepo kwa zile tetesi kwamba ni wapenzi.

Hii ni baada ya Diamond kwenda kwenye uku­rasa wa Zuchu wa Instagram na kumuachia emoji ny­ingi za ma­kopa ambayo yamem­fanya Rommy Jons kushindwa kuvumilia na kuwaambia; “Haya makopa ni mengi sana mdogo wangu…”

Kitendo cha Romy Jons kusema hivyo kimesababi­sha kila mtu kusema lake huku wen­gine wakim­potezea Rommy Jons ambaye amekuwa na kasumba ya kuwawekea watu vichwa vya habari vya kuchek­esha mara tu wana­poposti vitu kwenye kurasa zao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live