Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makalio feki yazidi kumpa shida Black Chyna hatari tupu !!

3346 5a849883283fd TZW

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Kila kukicha umbo la mwanamitindo na video vixen kutoka Marekani, Black Chyna linazidi kuzua utata kutokana na muonekana wake.



Mrembo huyo ambaye aliwahi kuwa na mahusiano na rapper Tyga na kaka wa Kardashian Rob, amezidi kuandamwa na mapaparazi ambapo wamefanikiwa kupata picha yake akiwa katika vazi la ufukweni huku makalio yake yakionekana kama sio halisi (Fake)

!

Mnamo mwaka jana mrembo huyo pia alijikuta katika aibu baada ya makalio yake hayo kuonekana yanaporomoka wakati wa ukaguzi wa kiwanda cha ndege.

Chanzo: bongo5.com