Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makabila: Siwezi kuacha milioni 100 kisa Ramadhani

Dulla Makabila Singeli Dulla Makabila.

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki wa singeli Dulla Makabila leo amesema kuwa anashangazwa na wanaomponda aliposema anasumbuliwa na show akiahidiwa pesa mwezi huu wa Ramadhan.

Dulla amesema kuwa wakiweka mezani msaafu na million 100 atachagua pesa kwani hana imani kali ya kuacha pesa afuate msaafu (Quran).

Pia, amesema kuwa yeye ni muislamu na ana mashabiki wa dini zote hivyo hawezi kukataa show kwa sababu ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live