Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majuto aeleza alivyokosa chumba Muhimbili, ataja Ugonjwa anaougua

2048 Majuto 660x400

Sun, 28 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Muigizaji Staa ndani ya Bongo Movie Mzee King Majuto ameongea na  AyoTV na millardayo.com ambapo ameeleza ilivyokuwa mpaka akakosa kitanda katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ugonjwa unaomsumbua kwa sasa.

Majuto amesema ili mbidi arudi kulala Vingunguti saa nane usiku baada ya kukosa kitanda katika vyumba VIP ambapo wao walihitaji, pia ameeleza kuwa anaugua Tezi Dume na ameshafanya vipimo  ila anatakiwa arudi siku ya Jumanne kwa ajili ya kuangalia namna ya kupata matibabu zaidi.

“Ilikuwa nipumzike ila tulihitaji VIP sasa sijui tatizo lilikuwa nini au ndo haya mambo ya Ki-TZ mpaka uonyooshe mikono, askari wa pale alibishana na mke wangu mwisho akasema hakuna chumba ili Saa nane usiku tufanye utaratibu wa kurudi nyumbani, tatizo ni tezi dume,”-King Majuto

MAJUTO AMEKOSA KITANDA MUHIMBILI “TULIAMBIWA VIMEJAA”

Chanzo: millardayo.com