Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Majani alikuwa hana imani" - Producer Lamar

Plamaar "Majani alikuwa hana imani" - Producer Lamar

Thu, 6 May 2021 Chanzo: eatv.tv

Producer wa muziki wa BongoFleva Lamar Fishcrab amesema kabla ya kuwa mtayarishaji wa muziki alikuwa rapa na msanii aliyekuwa anamtazama kwa kipindi hicho alikuwa ni Bow Wow kutoka nchini Marekani.

Pia kupitia heshima ya BongoFlava kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, Producer Lamar amesema yeye na Producer P Funk Majani ni mtu na binamu yake lakini Majani alikuwa hana imani naye kwenye upande wa utayarishaji wa muziki japo alimuonesha kwamba anaweza kuandaa muziki.

Lakini Baadaye Producer Dunga ndiye aliyempa imani P Funk Majani mpaka kuanza kumkubali na kumuamini Lamar amekwiva kuwa mtayarishaji wa muziki.

Chanzo: eatv.tv