Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mahaba ya Will Smith kwa Jada mpaka kiama

Jada Asimulia Walivyotengana Na Mumewe Na Kulea Watoto Na Nyumba Moja Mahaba ya Will Smith kwa Jada mpaka kiama

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji maarufu duniani, Will Smith ameonyesha upendo wa mkubwa sana kwa mke wake Jada Pinkett Smith alipo shiriki katika moja ya mkutana uliofanyika katika Maktaba ya Enock Pratt.

Wakati wa sehemu moja ya programu Will, pamoja na watoto wao, walijiunga na Jada jukwaani.

Smith alifanya utani kidogo kabla ya kusema kwamba Jada ndiye rafiki bora ambaye amewahi kuwa naye kwenye sayari hii.

Aliendelea kueleza kuwa anaenda kujitokeza kwa ajili ya Jada na kumuunga mkono kwa maisha yake yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live