Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahaba ya Drake katika Birthday ya mama yake (+picha)

2156 26869076 1530496953731957 4639286698042195968 N 1 TZW

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Ikiwa leo, January 29 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa (birthday) ya mama mazazi wa Drake, Sandi Graham , msanii huyo hajachukuliwa poa siku hiyo.

Sandi Graham katika birthday yake mwaka jana

Drake ambaye mara  kadhaa amekuwa akionekana katika matukio makubwa kama ugawaji wa tuzo akiwa na mama yake, ameshare picha tatu wakiwa pamoja na kuandika; Only love my bed and my mama, i’ m sorry . Happy Birthday.



Chanzo: bongo5.com