Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahaba niue! Tazama Harmonize anavyomvalisha viatu Kajala+VIDEO

MAHABA NIUE Mahaba niue! Tazama Harmonize anavyomvalisha viatu Kajala-VIDEO

Thu, 7 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Penzi ni kikohozi na kulificha huwezi. Hivyo ndivyo inavyotokea kwenye penzi la mastaa Harmonize na Kajala Masanja.

Unaambiwa sasa hivi Harmonize anamvalisha hadi viatu Kajala kuonesha kwamba anamzia kiasi gani.

Kupitia kipande cha video ambacho amekiachia leo kupitia Insta Story, Harmonize ameonekana akiwa nyumbani kwake na Kajala akiwa amekaa kwenye kochi.

Harmonize akainama, akaanza kumvalisha raba nyeupe Kajala kisha akaweka kipande kingine cha video ya Kajala akiwa kwenye gari tayari kwa mtoko.

View this post on Instagram

A post shared by Tanzania Web (@tanzaniaweb)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live