Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahaba mazito! Hatimaye Harmonize ajilipua kwa Kajala

Kajala Harmoooo Nm Harmonize na Kajala

Wed, 22 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya sarakasi za muda mrefu kupita za kuombana msamaha, hatimaye Harmonize amejilipua kwa kuposti picha mpya ya kimahaba akiwa na Kajala kuashiria sasa ni rasmi penzi lao linerejea kwenye mstari.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize ameposti picha hiyo bila kuandika ujumbe wowote na kuwafanya mashabiki wao kuanza kukomenti chini ya picha hiyo.

Wapo wengi wamewapongeza na kuwaombea wafike mbali japo wapo wachache ambao wamekosoa kwa maneno ya kebehi.

Harmonize na Kajala waliachana kwa muda baada ya kutofautiana lakini sasa penzi lao linerejea rasmi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live