Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahaba: Binti miaka 15 aweka bango la Drake barabarani

Mahaba: Binti Miaka 15 Aweka Bango La Drake Barabarani Mahaba: Binti miaka 15 aweka bango la Drake barabarani

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Binti aliyefahamika kwa jina la Miya Mwenye umri wa miaka 15 ameonesha mapenzi yake ya dhati kwa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani, Drake kwa kuweka bango kwa ajili ya kumualika kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Wazazi wa binti huyo walitengeneza bango na kuliweka katikati ya jiji la Jacinto, bango hilo ambalo lilikuwa na picha ya binti yao na Drake likiwa ni la mualiko kwenda kwa ‘rapa’ huyo lililokuwa likieleza kuwa.

#Drake umealikwa katika sheherehe ya siku yake ya kuzaliwa, ya Miya Disemba, 2023 itakayo fanyika #Alexia huko Corpus Christi ambapo anatarajia kutimiza miaka 16.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live