Menu ›
Burudani
Thu, 10 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mnamo mwaka 2015 shirika la ulinzi wa Wanyama katika jimbo la Indiana lilipo Nchini Marekani lilianzisha programu inayoruhusu wafungwa kuishi na paka kwa kuwapa uangalizi unaostahili.
Programu hiyo iliwahitaji wafungwa kuwafanyia haya paka hao kuwalisha, kuwasafisha, kucheza nao na uangalizi Zaidi kwani wao ni viumbe kama viumbe wengine.
Programu hii imeonesha mafanikio katika Jimbo la Indiana na wafungwa hao kuonesha furaha katika nyuso zao kwani inawakumbusha namna ya kuishi na wanyama hata kama hawapo katika jamii zao.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live