Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madee kuhusu Tip Top kucopy wimbo ‘Nanii’, alimpataje Dkt Shika (+Video)

Thu, 14 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee Ali amefunguka kukanusha taarifa zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kwamba msanii wake mpya wa Tip Top, Gaza ameiba wazo la wimbo’Nanii’ katika wimbo wa SSK, uitwao ‘Nanii’. Rais huyo wa Manzese amedai kwamba hata wimbo huyo wa kundi la SSK haufahamu.

Chanzo: bongo5.com