Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madee aghairi kuachana na muziki

Madee Ali Madee aghairi kuachana na muziki

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Madee ameghairi kuacha muziki kama alivyotangaza siku kadhaa zilizopita ambapo sasa ameachia wimbo mpya unaitwa Sitaki Muziki.

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Madee ameghairi kuacha muziki kama alivyotangaza siku kadhaa zilizopita ambapo sasa ameachia wimbo mpya unaitwa Sitaki Muziki. Madee alitangaza kuacha muziki huku akitaka kujikita zaidi kwenye malezi ya Familia kama Baba na pia biashara zake lakini wadau mbalimbali wakiwemo viongozi na wasanii wenzake wakimsihi atengue uamuzi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live