Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madee afunguka ujio wa ngoma ya pamoja kutoka Tip Top Connection

3952 25014135 502310283500965 5582128085047705600 N 1 TZW

Mon, 5 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii Madee amefunguka kuhusu ujio wa ngoma ya pamoja ya kundi la Tip Top Connection.



Hitmaker huyo wa ngoma ‘Sema’ ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa bado hakuna mpango wa kutoa ngoma ya pamoja ila ni kitu ambacho kinaweza kujakutokea.

“Bado kabisa, hatuja-plan hivyo, hakuna ugumu wowote ila ni kitu ambacho bado hatujapanga ila ikitoka itajumuisha wasanii wote wa Tip Top Connection,” amesema Madee.

Tip Top Connection mwaka jana walimtambulisha msanii mpya anayekwenda kwa jina la Gaza ambaye alitoa ngoma ‘Nanii’ aliyomshirikisha Madee.

Chanzo: bongo5.com