Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madee: Hakuna fundi kama Kassim Mganga

KASSIM MGANGA ONE Madee: Hakuna fundi kama Kassim Mganga

Thu, 17 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Manzese na lebo ya MMB, Madee anasema ukimtoa mkongwe Issa Matona hakuna muandishi bora wa nyimbo za mapenzi kama Kassim Mganga;

"Moja kati ya waimbaji bora kabisa kuwahi kutokea kwenye ardhi ya nyumbani Tanga na nyumbani Tanzania, kwenye uandishi wa nyimbo za mapenzi ukimtoa Issa Matona hakuna kama Kassim Mganga"

Wawili hao walifanya kazi pamoja katika kundi la TipTop Connection miaka ya nyuma.

Awena, haiwezekani, subira, na waubani ni baadhi ya nyimbo kadhaa alizoimba Kassim Mganga kuhusu mapenzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live