Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madam Rita: Nimepokea maombi mengi ya wanaume

Madam Rita Madam Rita.

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jaji wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Madam Rita amesema baada ya kuweka wazi kuwa yupo single, maombi ya wanaume kwake yamekuwa ni mengi.

Jaji wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Madam Rita amesema baada ya kuweka wazi kuwa yupo single, maombi ya wanaume kwake yamekuwa ni mengi. "Wananchi mnaombwa utulivu zoezi la upembuzi yakinifu likiendelea. Maombi yamekuwa mengi lakini bila shaka mrejesho kutoka kamati inayoshughulikia mchakato utafikia tamati katika muda muafaka," ameandika Madam Rita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live