Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Mabilionea hawa, ulinzi binafsi ndio kipaumbele chao

Elon Mark Zuckerberg (15).jpeg Mabilionea hawa, ulinzi binafsi ndio kipaumbele chao

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ndiyo orodha ya watendaji wakuu kwenye makampuni yanayohusika na teknolojia wanaotumia pesa nyingi zaidi kwenye ulinzi binafsi.

a) Elon Musk mtendaji mkuu ''X'' hutumia zaidi ya Tsh Bilioni 25 kwa ajili ya ulinzi wake binafsi.

b) Mark Zuckerberg mtendaji mkuu ''META'' hutumia zaidi ya Tsh Bilioni 35 kwa ajili ya ulinzi binafsi.

c) Sundar Pichai mtendaji mkuu ''GOOGLE'' hutumia zaidi ya Tsh Bilioni 15 kwa ajili ya ulinzi binafsi.

d) Tim Cook mtendaji mkuu ''APPLE INC'' hutumia zaidi ya Tsh Bilioni 1.4 kwa ajili ya ulinzi binafsi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live